Eneo:Daresalaam
P.O BOX:13055
Mwisho wa maombi:2020
Charles pure herbal ni watengenezaji na wasambazaji wa bidhaa kama sabuni,mafuta ya kujipaka, shampoo,aftershave na bidhaa nyingine nyingi bidhaa hizi zimetengenezwa kwa malighafi asilia.
Kampuni ya Charles pure herbal iliyopo daresalaam imesajiliwa na serikali na ina leseni ya biashara.
Majukumu ya muajiriwa
>kusambaza bidhaa zetu katika sehemu mbalimbali kama atakavyo elekezwa
>kushiriki kikamilifu,na uaminifu katika kazi
Utakapo kua tayari kufanya kazi na kampuni hii utapatiwa tshirts,za Charles pure herbal bure yenye kukutambulisha kua wewe ni muajiriwa wetu
Jinsi ya kutuma maombi
Bofya link hii kuendelea==>Bofya hapa kuendelea


0 Comments